Exodus 25:10-15

10 a“Nao watatengeneza Sanduku la mbao za mshita, lenye urefu wa dhiraa mbili na nusu,
Dhiraa mbili na nusu ni sawa na sentimita 112.5.
upana wa dhiraa moja na nusu,
Dhiraa moja na nusu ni sawa na sentimita 67.5.
na kimo cha dhiraa moja na nusu.
11 dUtalifunika hilo Sanduku kwa dhahabu safi ndani na nje, na kulifanyia ukingo wa dhahabu juu yake kulizunguka. 12Utalisubu kwa pete nne za dhahabu na kuzifungia kwenye miguu yake minne, pete mbili kwa upande mmoja na pete mbili kwa upande mwingine. 13 eKisha utatengeneza mipiko ya mti wa mshita na kuzifunika kwa dhahabu. 14 fUtaiingiza hiyo mipiko kwenye zile pete katika pande mbili za Sanduku ili kulibeba. 15 gHiyo mipiko itabakia daima katika hizo pete za hilo Sanduku; haitaondolewa.
Copyright information for SwhKC